Thursday, June 13, 2013

 
PICHA 3 ZA MAMA ALIYEKAA JUU YA PAA LA NYUMBA KWA SIKU TATU KUPINGA NYUMBA YAKE KUPIGWA MNADA NA BENKI
 
Hapa akihojiwa na mwahahabari
 
 
 
 

MAANDALIZI TAMASHA LA MATUMANI YAKAMILIKA.

 

                                                                   KIKAZI ZAIDI


 Wkati wakazi wa DAR Wakiandamana kudai maji kwa Viongozi wao wananchi hawa wanajifaidia maji ya Asili tu.


 

Monday, May 07, 2012

WAKILI WA SERIKALI ATAKA UMRI WA LULU UCHUNGUZWE..

 ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU AKISINDIKIZWA KIZIMBANI.

 KATIKATI YA ULINZI MKALI TOKA KWA ASKALI WA KIKE LEO KTK MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU.

                                                                       VERY  SORRY LULU

BONGO MOVIE WALIPOVAANA NA TWIGA STARS......

 Kama kawaida ya Bongo Movie Club uKabbma kawaida ya Bongo Movie Club ushindi kwao ni kawaida yao juzi iliweza kuifunga Twiga Stars team ya wanawake kwa mabao matatu kwa mawili ulikuwa ni mapambano kwa kuichangia Twiga Stars ili iweze kupata hela kwa ajili ya mashindano ya kimataifa yanayoendelea tarehe 21 ya mwezi huu watapambana na Namibia kama kumbukumbu zangu ziko sawashindi kwao ni kawaida yao juzi iliweza kuifungateam ya wanawake kwa mabao matatu kwa mawili ulikuwa ni mapambano kwa kuichangia Twiga Stars ili iweze kupata hela kwa ajili ya mashindano ya kimataifa yanayoendelea tarehe 21 ya mwezi huu watapambana na Namibia kama kumbukumbu zangu ziko sawa


                                                      Divas wa BONGO MOVIES

 
                                                    SHILOLE MGUU JUUUUUU...............

                                                             JAQUWLINE WOLPER




LULU ANA MIMBA YA MIEZI MITATU?




Utata kama Elizabeth Michael ‘Lulu’, (pichani)  ana mimba au la, umetatuliwa baada ya mwanamitindo maarufu Bongo anayefahamika kwa jina moja la Martin kutoboa siri kuwa ni kweli staa huyo ana mimba ya miezi mitatu, Risasi Jumamosi linafunguka.

Akizungumza na mwandishi wetu, Martin ambaye ni rafiki wa karibu wa Lulu anayesota rumande Segerea, Dar akiwa mshukiwa wa kwanza wa kifo cha Steven Kanumba, alisema kwa hesabu zake tangu msichana huyo aliponasa ni takribani miezi 3 sasa.

WALIJARIBU KUICHOROPOA MARA KADHAA

Jamaa huyo alifunguka kuwa baada ya Lulu kushtuka kuwa ni mjamzito alimweleza marehemu Kanumba ambapo kwa pamoja walijaribu kuichoropoa mimba hiyo lakini ikasema “sitaki” (ikashindikana).
Aliendelea kudai kuwa, baada ya mpango huo kufeli waliamua kuiacha hadi Lulu alipokumbana na dhahama ya kukaa nyuma ya nondo hadi leo.

“Yeye (Lulu) na Kanumba walijaribu mara kadhaa kuitoa lakini ikashindikana.”alisema mwanamitindo huyo. 

 NDIYO CHANZO CHA ‘SHESHE’ LAO.

Jamaa aliweka wazi kuwa ‘sheshe’ kubwa kati ya Lulu na marehemu Kanumba lilihusiana na mimba hiyo.
 “Kanumba alikuwa akitaka Lulu akatoe mzigo huo, lakini Kalulu Kadogo (Lulu) alikataa katakata,” alisema na kuongeza:

“Aisee ilikuwa ni ishu ya siri sana.”

TUJIKUMBUSHE

Madai ya Lulu kuwa mjamzito yaliripotiwa kwa mara ya kwanza wiki iliyopita na gazeti ndugu la hili la Amani ambapo ilielezwa kuwa mbali na kitumbo kumtoka pia, alikuwa akichagua aina ya vyakula.

Saturday, April 07, 2012

STEVEN KANUMBA:NURU YA FILAMU BONGO LIYOZIMA GHAFLA.

                            MAREHEMU STEPHEN KANUMBA ENZI ZA UHAI WAKE.

 BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WAKIWA HAWAAMINI TAARIFA ZA KIFO CHA KANUMBA

                                                       DJ CHOKA AMECHOKAAAAAAA

                                                             SHILOLE HAJIWEZI TAABANI

                                        JOHARI CHAGULA AKIONGEA NA WAANDISHI

            UZALENDO ULIPOMSHINDA AKALIMWAGA CHOZI.. UUUUUWWWIIIIIII......

                       DAH.BRO KANUMBA UMETUTOKA..STEVE NYERERE CHALI...

                                              H BABA HAAMINI MACHO YAKE.

                   FAHAMU ZILIPO MRUDIA STEVE NYERERE AKAJIKUTA YUPO KWENYE GARI.

                     SWAHIBA MKUBWA WA KANUMBA,RAY HAAMINI MACHO YAKE.

                           UWIIIII UWIIIII UWIIIIII....MAINDA HAJIELEWI NI KILIO TU.

                                                      POLE DADANGU MAINDA.

                                                    VILIO VILITANDA KILA KONA.

Friday, April 06, 2012

TAARIFA KUTOKA KWA AFANDE SELE KUHUSU TUKIO LILOTOKEA IVI KARIBUNI ISHU YA KUKAMATWA KWAKE YEYE NA 20%



Ndugu zangu ambao ni mashabiki wangu!! Juzi wakati nimerejea kutoka Tanga, majira ya jioni ndugu zangu Ballet Wallet(mtupori) , Adam Lumbe na Twenty Percent (20%) walitoka na gari yangu, kwa bahati nzuri au mbaya wakapita maeneo ya NMB hapa Morogoro, wakapaki gari kwa haraka kwa kuwa Adam Lumbe alimuona kijana ambae alimtapeli katika mauziano ya pikipiki, likatokea zogo!! Polisi waliokuwa Lindo pale Bank wakaja kuizuia gari na pia wakawaweka chini ya Ulinzi Ballet Wallet na Adam Lumbe,

 Licha ya maelezo waliyowapa hawakuwaelewa, 20% akataka kuchukua gari wakamkatalia, ikabidi akodi pikipiki aje nyumbani kunifuata nikafuate gari, nimefika pale Bank polisi wakakataa kunipa gari ili niende kituo kikubwa cha polisi kuwawekea dhamana ndugu zangu kwa kuwa muda huo Ballet na Adam walikua washapelekwa kituoni,

Kilichotokea baada ya hapo nilielezwa nisubiri gari ya doria nipewe Eskoti mpaka polisi lakini baada ya kufika gari ya doria wakiwa na wanamgambo wa manispaa walituvamia na kuanza kutupiga marungu na kutujerehi, wananchi ambao ni kama ndugu zangu wanamorogoro wakasogea eneo la tukio,

 Polisi wakafyatua risasi hewani kuwasambaratisha tukapelekwa Polisi kituoni, pale hatukuchukuliwa maelezo haraka, baadae tukatoa maelezo baada ya wale mabwana wadogo askari kupata amri toka kwa wakubwa wao!! Jana tukafikishwa mahakamani tukakosa dhamana, tukapelekwa ngome (jail) tukiwa kama mahabusu, leo kwa bahati nzuri tumepata dhamana, na tumeweka wanasheria makini kusimamia HAKI yetu.

si kweli hata kidogo kuwa kwenye gari yangu kulikua na silaha za kijadi kwa lengo la kumdhuru mtu, walikuta fimbo yangu ile ya Mfalme wa rhyemes na kisu au kama panga ambao ni kitu cha kawaida kuwa nacho kwenye gari, na si kweli hata kidogo kuwa Ballet alikua kavaa kic..p* tu.

Ndugu zangu wapendwa watanzania wenzangu,na mashabiki wetu kiukweli hali za jela na selo zetu ni mbaya mazingira mabovu ndugu zetu wanateseka.

Nilitumia muda mchache niliokua kuwa kule kuwafariji na kuwapa moyo ingawa nilienda kwa Matatizo, na muda huu nipo hapa Nyumbani Misufini na Twenty Percent na Ballet pamoja na ndugu wengine! Tumechinja Mbuzi kama Sadaka au dhabihu kwa Mungu na kuchoma, kuelekeza moshi kwake kama ishara ya kumpenda na kushukuru kwa yote!! mwisho tunaomba radhi kwa mashabiki wetu wote kwa usumbufu mulioupata. ASANTENI KWA FARAJA ZENU KWANGU WAKATI WOTE ,Ni mimi SELEMANI ABDALLAH JUMA MUTABHAZI MSINDI .. KING OF RHYEMEZ. (AFANDE SELE)"" + MWISHO WA KUMNUKUU.

Thursday, March 08, 2012

RED IN NIGHT FASHION


NA HIZI NDO ILIKUWA KARIBISHA WAGENI...SAMBAMBA NA KINYWAJI CHA BAILEYS

ZULIANI....RED CARPET
 Sare sare maua


 mpasuo wa hatua....MAMBO HAYA YA ROZELA FASHIONS



madini yalihusikaa...sema ndo vijana wameniangusha hawakuninasia




                                                      MC ALIKUWA REGINA MWALEKWA


PIA KULIKUWA NA ZAWADI TOKA GLAMBOX AMBAPO ALIKUSANYA BIZNESS KADI NA AKAFANYA BAHATI NASIBU NA WASHINDI WATATU WAKAONDOKA NA MAKEUP BAGS

                                                              NAFUE TOKA GLAMBOX


                                                           PATA MUONEKANO
KIVAZI,::KILIPIKWA NA EVE COLLECTION.MAKE UP::MADIHA,HAIR DO::MWANTUM

        nilikuja navyo...ila nilikovivulia sikumbuki ;) ah kuvaa viatu virefu nacho kipaji eee