Kama kawaida ya Bongo Movie Club uKabbma kawaida ya Bongo Movie Club ushindi kwao ni kawaida yao juzi iliweza kuifunga Twiga Stars team ya wanawake kwa mabao matatu kwa mawili ulikuwa ni mapambano kwa kuichangia Twiga Stars ili iweze kupata hela kwa ajili ya mashindano ya kimataifa yanayoendelea tarehe 21 ya mwezi huu watapambana na Namibia kama kumbukumbu zangu ziko sawashindi kwao ni kawaida yao juzi iliweza kuifungateam ya wanawake kwa mabao matatu kwa mawili ulikuwa ni mapambano kwa kuichangia Twiga Stars ili iweze kupata hela kwa ajili ya mashindano ya kimataifa yanayoendelea tarehe 21 ya mwezi huu watapambana na Namibia kama kumbukumbu zangu ziko sawa
Divas wa BONGO MOVIES
SHILOLE MGUU JUUUUUU...............
JAQUWLINE WOLPER
No comments:
Post a Comment