Saturday, November 26, 2011

KILI STARS MBOVUMBOVU.


Timu ya Taifa ya Tanzania Bara KILIMANJARO STARS  Imeendelea kuwa vibonde kama ndugu zao wa Zanzibar baada ya kukubali kupokea kipigo cha uchungu 1-0 toka kwa RWANDA katika mfululizo wa michuano ya kombe la kagame inayoendelea jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment