Tuesday, December 06, 2011

HATIMAYE KILI STARS YATINGA NUSU FAINALI KIMDANANDE.


 Raha ya BAOOOOO....
 Mfungaji pekee wa bao la STARS Nurdin Bakari akishangilia mara baada ya kukandamiza msumali mkali langoni mwa Timu ya Taifa ya Malawi.


Hatimaye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Bara leo kimefanikiwa kuwatoa kimasomaso Watanzania baada ya kuilaza tim u ya Taifa ya Malawi kwa bao 1-0 katika mchezo wa Robo fainali ya kombe la CECAFA TUSKER CHALLENGE CUP uliofanyika kwenye uwanja mkuu wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Bao pekee lililoipaisha stars liliwekwa kimiani katika dsakika ya 36 ya mchezo kupitia kwa kiungo mahiri NURDIN BAKARI.

No comments:

Post a Comment