Kwa mara ya kwanza tangu kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 Rais JAKAYA KIKWETE jana alikutana na aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,DOKTA WILBROAD SLAA,Baada ya jopo la viongozi la Chama hicho utemvelea ikulu kukutana na Rais katika majadiliano juu ya mchakato wa uundwaji wa katiba mpya.
No comments:
Post a Comment