Thursday, November 24, 2011

DMX FABOLOUS LIVE IN DAR JMOS HII


Msanii nyota anayetesa katika muziki wa HIP HOP anatarajiwa kutua nchini kesho kuhudhuria tamasha la straight music enter collage special litakalofanyika ndani ya viwanja vya leaders club kinondoni.

No comments:

Post a Comment